Habari

Tunakaribia kufika.

Kutoka kwa Nancy Towo tarehe 24/07/2016

Tunakaribia kumalizia mradi wa jiko. Kwa sasa jengo limekamilika. Kuna majiko mawili; la kutumia nishati kidogo na lingine la kutumia gesi.

 

 

Hatua nyingine mbele

Kutoka kwa Nancy Towo tarehe 24/07/2016

Vijana wa kujitolea waliopo KIUMAKO kwa sasa wameweza kuandaa makabati kwa ajili ya kuweka kompyuta. Sasa wanaweza kuhifadhi kompyuta kwa mpangilio mzuri.

Pia makabati mengine kwa ajili ya ofisi yao. na pia walipanga ofisi na kuhakikisha kila kitu kinakaa mahali husika.

Wamefanya pia sanaa kwa kuchora ramani ya Africa.

Kuwa tayari, anzaa....

Kutoka kwa Nancy Towo tarehe 24/07/2016

Mwaka huu tumeweza kuandaa vijana 8 wa kujitolea kwenda kufanya kazi Tanzania kwa mwaka mmoja. Semina hii iliyokuwa ya siku tatu ilifanyika kwenye eneo la BiBeKu. Semina iliongozwa na mshauri wa vijana hao( Marcus Wack) akishirishirikiana na wageni kutoka shlule ya KIUMAKO; William Lyimo, Pracseda Towo and Rehema Msella, na vijana wa kujitolea wa miaka iliyopita; Lea Fiedler, Simon Dickmann, Lisa Schreiber, Eike Steinke and Lisa Eike. Na pia vijana wa kujitolea kutoka Tanzania; Mercy Lyimo na Nancy Towo.

Huu ulikuwa mda mzuri sana pamoja. Tulipika chakula cha kitanzania na pia kuongea kuhusu  miradi ambayo vijana hawa watafanya. Pia walifunziswa kiswahili kwa ufupi na Mercy Lyimo. Tulimaliza kwa kupiga picha ya pamoja.

 ….TUNAWATAKIA MWAKA WA MAFANIKIO…

 vijana wa kujitolea kufanya kazi @ 2016/2017

ANZISHA MCHEZO

 

Michezo inachangamsha, inaleta nguvu, inaleta furaha, inaleta motisha…hivi ndivyo tunataka kufanya na wanafunzi wetu wa KIUMAKO. Miradi ya vijana wa kujitolea inawezesha haya.

Kwa sasa tuna eneo la kuchezea mpira wa kikapu na pia meza ya kucheza kitenesi.

Kikao cha RAFIKI 2016

 

Mwaka huu kikao cha RAFIKI kilifanyika kenye chumba cha mikutano cha BiBeKu kwenye eneo la Kellinghusen. Kulikuwa na  watu takrian 30 kutoka kwenye mashirika tofauti. Kutoka shule ya sekondari KIUMAKO iliyopo Uuwo ambapo RAFIKI inajenga kwa zaidi ya miaka 6 sasa  Alikuwepo Rehema Msella , Pracseda Towo na William Lyimo.

Wakati Oliver Zantow akielezea hali iliyopo kwenye shule ya KIUMAKO. Marcus Wack alitoa taarifa kuhusu vijana wa wanaofanya kazi ya hiari kwa ajili ya RAFIKI. Vijana hao wa kutoka Ujerumani kwenda Tanzania na wa Tanzania kwenda Ujerumani. Nancy Towo na Mercy Lyimo ni vijana wa kwanza kwenye huu mpango wa “weltwärts” kwenye eneo la Kellinghusen.

Rahime Diallo kutoka kwenye shirika la DIASPORA Policy Institute alifundisha kuhusu mambo yanayotendeka baada ya ukoloni na kuongoza majadiliano.

Kwa kumalizia wageni wote walikuwa wameandaliwa chakula kizuri cha kitanzania kilichoandaliwa na Thomas Jöckel pamoja na Pracseda Towo, Rehema Msella, Waqas Maqbool, Mercy Lyimo na Nancy Towo.

 

MAZINGIRA CLUB

"Hatutaki kulinda mazingira ila tunataka kuandaa dunia ambapo mazingira hayata hitaji kulindwa na hii inaanza na kizazi kichanga."

Vijana wetu wa kujitolea wakiwa na wanafunzi wa KIUMAKO kwenye klabu ya Mazingira.

 

Elimu endelevu

kutoka kwa Nancy Towo tarehe 31.05.2016

Tarehe 30 mei 2016 RAFIKI ilipokea cheti cha NUN(Norddeutsch Und Nachhaltig ) kwa mara ya pili kutoka eneo la Schleswig-Holstein. Hii ni kutokana na kazi yake ya kutoa elimu endelevu.

Rafiki inafanya kazi na vijana wajerumani pamoja na watanzania. Kwanza vijana wa Ujerumani wanajifunza halafu wanashirikiana na watanzania. Kwa njia hii wanafanya vijana wote wajue mazingira yao.

NINI KINAENDELEA!!!?

 

Kutoka kwa Nancy Towo tarehe 30.05.2016

Kazi kwenye jiko bado inaendelea. Wameweka saruji kwenye ukuta wa nje na baadhi ndani ya jiko. Na pia mahali kwa ajili ya kuoshea viumbo na kuandalia vitu kwa ajili ya kupika inaendelea na matengenezo.

Kijana wetu anayefanya kazi ya kujitolea alikuwa na wazo la kujenga Sehemu ya kukaa chini ya mti kwa kutumia mbao. Kama unavyoona kwenye picha wanafunzi wa KIUMAKO wataweza kukaa nje.

Maendeleo ya ujenzi wa jiko

 

kutoka kwa Nancy Towo

Wiki iliyopita ujenzi wa jiko uliendelea. Watu bado wanaendelea kufanya kazi kuweza kukamilisha ujenzi huo.

Zege limeshawekwa kwa ajili ya jiko la kutunza nishati ambalo lina sehemu nne za kupikia. Mabomba yamefungwa sakafuni na pia kwenye ukuta. Pamoja na sehemu ya kufitisha madirisha ipo tayari.

Hivi ndivyo jengo letu linavyoonekana na ukamilishaji wake utaleta fursa ya kupata mafunzo ya aina ya tofauti.

Mercy Lyimo na Nancy Towo wakiwa Ujerumani

kutoka kwa Nancy Towo tarehe 4/5/2016

"leo kuna taarifa kwenye gazeti kuhusu kazi yetu ya kujitolea Ujerumani"

[Translate to Kisuahelil:] KIUAMAKO Sportanlagen - Basketball und Tischtennis

Marcus Wack am 03.04.2016

Nach Beendigung seines Studiums zum Ingenieur für Maschinenbau absolviert der Kieler Lars Dehmel zur Zeit einen dreimonatigen Freiwilligendienst für RAFIKI. Als Techniker unterstützt er vor allem beim Bau der KIUMAKO Secondary School. Als erstes Projekt hat er sich den Weiterbau der Sportanlagen vorgenommen. U.a. hat der passionierte Basketballer einen professionellen Basketballkorb gebaut und fest installiert.

Außerdem hat gemeinsam mit tansanischen Kollegen eine Tischtennisplatte gebaut. Es handelt sich vermutlich um die erste Platte in der Region. Morgen beginnt an der KIUMAKO die Schule wieder und dann wird sie in der Dining-Hall aufgebaut.

(Kopie 2)

[Translate to Kisuahelil:] Der Küchenbau geht voran

Marcus Wack am 01.04.2016

Der Küchenbau hat jetzt ein Dach bekommen. Eine Firma aus Arusha ist in der vergangenen Woche mit zwanzig Mitarbeitern und Mitarbeiterinnen angereist und hat eine Betondecke gegossen. Einen Arbeitstag hat es gebraucht bis die Betondecke, die später auch noch ein zweites Stockwerk tragen kann, fertig war.

Unser aktueller Mann vor Ort, Lars Dehmel hat den Bauvorgang beobachtet und nebenbei einige kleinere Reparaturen durchgeführt. Dazu zählte das Schweißen der Umzäunung im ersten Obergeschoss.

(Kopie 3)

[Translate to Kisuahelil:] Blick über den Tellerrand

Marcus Wack am 31.03.2016

Carolina Parr aus Itzehoe berichtet aus ihrem ersten Halbjahr als Freiwillige an der KIUMAKO Secondary School in Uuvo.

(Kopie 4)

[Translate to Kisuahelil:] Zwischenseminar der Weltwärts Freiwilligen nach Sambia

Vom 21. bis zum 30. Januar fand das große Zwischenseminar der RAFIKI Freiwilligen statt.
Unter Leitung von marus Wack und Gilbert Towo ging es von Daressalam quer durch Tansania und Sambia bis nach Livingstone an die Victoria Falls.

Was die Freiwilligen auf dieser Seminarreise alles gelernt und erlebt haben könnt Ihr auf deren Blogs nachlesen.

(Kopie 5)

[Translate to Kisuahelil:] RAFIKI e.V. auf facebook

vom 13. Oktober 2015

RAFIKI ist nun auch auf facebook vertreten. Auf unserer Seite sind aktuelle Infos und Entwicklungen nachzuvollziehen.

Wir freuen uns über jedes Gefällt mir und hoffen auf eine gute Interaktion mit allen Interessierten!

Hier geht es zu unserer Seite.

(Kopie 6)

[Translate to Kisuahelil:] „Hakuna Matata“ in Tansania

vom 10. August 2015

Aus der Redaktion der Norddeutschen Rundschau

(Kopie 7)

[Translate to Kisuahelil:] Störstadt behält Gütesiegel

vom 24. Juli 2014

Aus der Redaktion der Norddeutschen Rundschau

Die Störstadt darf sich weiterhin Fairtrade Town (FTT) nennen. Anlass zu doppelter Freude hatte Reinhard Rübner (SPD) im Bürgerhaus. Der stellvertretende Bürgermeister eröffnete dort nicht nur die Schau „Süß & Bitter“ der Kampagne „Make Chocolate Fair“. Unter dem Beifall der Gäste teilte er außerdem mit, dass der Stadt das FTT-Siegel behält. Der 2013 zunächst für zwei Jahre vergebene Titel sei nach einer Prüfung durch Fairtrade Deutschland um vier weitere Jahre verlängert worden.

Zum Ausstellungsstart begrüßte Rübner neben den Mitgliedern der lokalen FTT-Steuerungsgruppe auch Pracseda Towo aus der tansanischen Rafiki-Partnergemeinde Mrimbo sowie den Markus Schwarz vom Bündnis Eine Welt Schleswig-Holstein (BEI). Fair gehandelte Produkte habe er bei einem Rundgang in allen großen Geschäften gefunden, so Rübner. „Zucker, Reis, Tee, Kaffee und Bananen mit Siegel haben alle Anbieter im Regal stehen.“ Dies zeige, das der Handel sich des Thema annehme. Auch fair gehandelte Schokolade, deren „süßer Genuss und bittere Wahrheit“ zentrales Thema der Schau ist, sei in vielen Variationen dabei gewesen. Der kleine Ausstellung zeigt unter anderem an fünf Entdeckerstationen den Weg der Kakaobohne zur Schokolade auf. Fairer Handel bedeute vor allem, das die Produzenten einen angemessenen Lohn für ihre Arbeit bekämen, stellte er heraus.

In die Störstadt gekommen sei die vom Netzwerk Inkota organisierte Ausstellung auf Anregung von Markus Schwarz, „der uns regelmäßig mit Informationen versorgt“, unterstrich Oliver Zantow, Mitglied der Fairtrade-Steuerungsgruppe. Aufgebaut wurde die Schau mit Video- und Hörstation sowie Anschauungs- und Informationsmaterial mit Hilfe weiterer Mitglieder sowie der BiBeKu und des Stadtmarketings, dankte Zantow allen beteiligen Helfern.

Zum FTT-Status erklärte er: Mit ruhiger aber kontinuierlicher Kraft habe Kellinghusen es als eine der ersten Städte im Land geschafft Fairtrade Town zu werden. Auch vor Ort sei festzustellen: „Fairer Handel ist auf dem Weg aus der exotischen Nische zum Mainstream.“ Es gehe aber nicht nur um die Endverbraucher, die sich mit ihren Einkaufsverhalten für faire Löhne entscheiden, ergänzte Schwarz. Vor allen Dingen die Hersteller müssten ihre Versprechen über fairen Bedingungen für die Produzenten auch einzulösen.