masanduku ya mada

Kwa sasa RAFIKI imetengeneza masanduku tisa ya mada:

1.Bidhaa za haki

2.Mpira wa miguu

3.Kahawa

4.Ajira kwa watoto

5.Nguo

6.Matunda

7.Kakao

8.Tanzania

9.Maji

Masanduku hayo yalitengenezwa kwa ushirikiano na washirika wetu BiBeKu GmbH kwa msaada wa fedha kutoka Bingo!Unaweza kuangalia au kuazima masanduku haya kutoka kwenge mgahawa wa "one world cafe" iliyopo Kellinghusen.Ndani ya masanduku hayo kuna vitu vya aina mbalimbali ambavyo vinasaidia wanafunzi kujifunza mambo endelevu kwa  njia ambayo inavutia.Ndani ya masanduku hayo kuna vifaa vya kujifunzia,muvi na vitabu vyenye mada.

Nyuma

 

 

Imefadhiliwa na:

Kwa ushirikiano na: